Verse 1
Ni how?
Uliniwacha me bila fahamu,
Kuwa ni yako zamu
Angalau, ungeniambia eti unacome,
Nitulize hamu
Mungu wa thati, eeh
Tamaa zangu zimenikwamia
Mikononi…
Labda huu ni mwisho wa dunia
Chorus
Safiri salama,
Msalimu Maulana…
Tutaonana baadaye, uuh
Safiri salama,
Msalimu Maulana…
Tutaonana baadaye, uuh
Hook
Ndiyo..ooh tutaonanana baadaye
Mpendwa ndiyo.. Ooh Mmh
Tutaonana baadaye
Nacome nacome, mpedwa tabasam,
Tutaonana baadaye, eey
Nacome nacome, mpedwa tabasam,
Tutaonana baadaye
Uuh.. Aa…
Waah…. Ok
Verse 2
Natamani kujua what your plot is
Ata landlord hupeana notice
Aki Maulana, ningelia kati
Peace ni expensive but worth it
Kwa nini uliamua kutangulia
Diet yangu imechange;
Tabia kulia
Usingizi nakutamani;
Kushoto kulia
Unakuja lini?
Nitabasamu tena, Unanitenda
Aliyekuchukua; sijui nani alimtuma
Maombi ni ati, wakati hurudi nyuma
Jioni Nikirudi; nikupate kwa nyumba
Vitu zimeshikana; ni ngumu kuvunja
But, kama una haraka,
Nenda kwanza,
Niko na eye bugs; sijalala
Na usalimie; Maulana
Chorus
Safiri salama,
Msalimu maulana…
Tutaonana baadaye, ooh
Safiri salama,
Msalimu maulana…
Tutaonana baadaye,
Hook
Ndiyo..ooo…. oh
Ndiyo..ooh tutaonanana baadaye,
ooh
Nacome nacome, mpedwa tabasam,
Tutaonana baadaye, oh
Nacome nacome, mpedwa tabasam,
Tutaonana baadaye
Bridge
Nacome nacome (ndiyo.. Ooh)
Mpendwa tabasam, tutaonana baadaye
Nacome nacome (ndiyo.. Ooh)
Mpendwa tabasam, tutaonana baadaye
Nacome nacome (ndiyo.. Ooh)
Mpendwa tabasam, tutaonana baadaye
Nacome nacome (ndiyo)
Mpendwa tabasam, tutaonana baadaye
Nacome nacome; Mpendwa tabasam,
Tutaonana baadaye
Nacome nacome; Mpendwa tabasam,
Tutaonana baadaye
Disclaimer: All lyrics are owned by respective artists
0 comments:
Post a Comment