[Hook: Sir Bwoy]
Cheki
fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
[Bridge,Domani Munga]
Alikam na ki nini?
Ki tururdudu
Kam na ki nini?
Kibuguduguboom
Kam na kinini?
Ki
sh sh, ki mh mh, ki ha ha
Alikam na ki nini?
Ki turududu
Kam na ki nini?
Kibuguduguboom
Kam na kinini?
Ki
sh sh, ki mh mh, ki ha ha
Na
imejaa!
[Verse1: Domani]
Kibugudugudu
my guy hii si toy
Ziwa
hurush na mi najienjoy
Tuliwabumbrush
H Kiamaiko
Buru
clean na mi si boys
Sina
jongo sina form sina cheda
Bila mbesha still ma Chargie walichuna
Ngeus
kuna mattress kwako? Sema form
Munga
mjinga niko zone
Past
curfew magiza niko biz
Shmady
ting alikujia ma giz giz
Am
sorry ilidim, am sorry nimediiim
Am
sorry ilidim, am sorry imedim
Am
sorry ah! ah! aiih
[Verse 2:Sir Bwoy]
Subaru
inakam na mambaru wame chrome
Zaidi
ya mzinga na zile vitu wrong
Munga
Sirbwoy hepa chuom na imepong
Digitali jaba kali shikisha na dosh
Maisha
posh na maombre wa pale Canaan coach
Taxin na ma ghegho za ugoro zinawaka shinda torch
za ma gwoch
Idhaa
ni mbaya lola mbota lola watch yeah yeah
Kwa hii darasa mi ndio teacher mi ndio coach
Zimewaka zimeliet zimemuoch
Mbare ya gatheshe hatuna kasheshe
Maybe
tudhiokore na tukufanyage patient
Boom
boom yeah yeah yeah yeah Boom Boom!
[Hook:Sir Bwoy]
Cheki
fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
[Bridge: Domani Munga]
Alikam na ki nini?
Ki tururdudu
Kam na ki nini?
Kibuguduguboom
Kam na kinini?
Ki
sh sh, ki mh mh, ki ha ha
Alikam na ki nini?
Ki turududu
Kam na ki nini?
Kibuguduguboom
Kam na kinini?
Ki
sh sh, ki mh mh, ki ha ha
Na
imejaa!
[Verse 3:Sewersydaa]
Zi
umshika za ki white boy
Akiwa
maduya riomo ana cock toy
Hicho
ki durag isikufanye uingie kwa soil
Bro
na ki durag udungwa ana rock mboi
Boy
Hatuitishi
ruhusa kuguza
Tunaishi
nchi rahisi hutundura
Na
ukisnitch juu ya clique unasundwa
shock delete unakam kuchunguza
UMBWA!
Cock
the ting ka umekam kutunyuria
Finger
imekwama kwa trigger unabuya
Usicome
ukiwa steam ka hautaki kupanguzwa
Ni genje njege walikam kuwatuma
[Verse4:Scar]
Ah!Alikam na Kidududum Dum!
Kama hauamini unaeza Google um
Sa izo jaba ni maini na kindukulu
Walifanya zote zishuke chini Pungulu PU!
Ati
Scar de amechange?
Ati
scar de amechaange
Kwani
una expect nini fadhe akiku bless
Ni ma Pu pu Bitch nigga muanze kuvaa vest
Cheki Dosh Dosh hakuna haraka manze tuwapeleke Mos
Mos
Chunga
usipate baraka waseme ni wash-wash
ki
Huh huh kilifanya utoe kila kitu kwa mbosho
Ma
Twa twa msupa wako akipewa kiboko
[Hook:Sir Bwoy]
Cheki
fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
[Bridge: Domani Munga]
Alikam na ki nini?
Ki tururdudu
Kam na ki nini?
Kibuguduguboom
Kam na kinini?
Ki
sh sh, ki mh mh, ki ha ha
Alikam na ki nini?
Ki turududu
Kam na ki nini?
Kibuguduguboom
Kam na ki nini?
Ki
sh sh,ki mh mh,ki ha ha
Na
imejaa!
- End -
Disclaimer: All lyrics are owned by respective artists