Verse 1
Wanasemaga
mapenzi safari
Unavyopita
ndo jinsi unajongea
Ila niendako
ni mbali;
sijui ka
ntafika sababu natembea
Niliposikiaga
Habari
Yakisifika
nikakesha nangojea
Akabariki
Jahali;
nami nkawika
muziki nkauotea
Ile pruuu
mpaka Macca
Nikadandiaga
Bongo movie
Kumbe
mapenzi hayataki haraka
Ni kama
tango natia tu chumvi
Mwenzenu
nikaoza haswa
Na kujitia
kitandani mjuzi
Eti nataka
fukuza paka
Badala ya
mbwa nkafuga mbuzi
Hhhmmm
Wivu
kanifanya kagombana na marafiki
Ugomvi na
mamangu;
akiniambia
siambiliki
Hook
Moyo
ukanambia ; Nasibu sasa mapenzi basi
Ila
nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi
Esma naniambia
mdogo wangu
mapenzi basi
Ila
nang'ang'ania
Nikiumizwa
na huyu kesho nna mwingine
Chorus
Ooh mbona
sikomi
Sikomi
Sikomi
Licha ya
mateso haya
Najiuliza
(oh sikomi)
Oh sikomi
mbona (Sikomi)
Mbona jamani?
Sikomi
Licha ya
mateso haya
Hhmm
Verse 2
Aliyonifanyia
wa central
Haki ya
mungu siyawezi sema
Ila
nimejifunza kesho -nisiwaamini wacheza sinema
Moyo
walinipatia mateso
Siwezi
kumeza siwezi tema
Ndio maana
sikushanga ile ghafla
Toka CCM
kwenda CHADEMA
Wanasema
kitanda ukitandika sharti ukilalie
Nikajitia
ukamanda yatakwisha
Wacha
nivumilie
Kila kiza
kikitanda
Ndo visa
machozi me nilie
Penzi
yakatia parapanda
Kuwaita waje
washambulie
Aah
Acha na
penny we darling
Nilio
muhongaga gari
aliponambia
ana mimba
Mwisho wa
siku akaichomoa chali
Mola
akanitunuku Zari
Akanzalia
dume na mwali
Niliyvo
mjinga nikacheat aibu mpaka
Kwa vyombo
vya habari
Hook
Moyo
unanambia Nasibu sasa mapenzi basi
Ila
nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi
Laiza
ananiambia simba mapenzi basi
Ila
nang'ang'ania
Nikiumizwa
na huyu kesho nna mwingine
Chorus
Ooh mbona
sikomi (mbona)
Sikomi
(mbona jamani)
Sikomi
Licha ya
mateso haya
Eh
Nishafumania (oh sikomi)
Nikafumaniwa
mimi (Sikomi)
Nishagombana
na watu (Sikomi)
Licha ya
mateso haya (Mateso haya)
Disclaimer: All lyrics are owned by respective artists