Intro
Sio
kama napenda, lakini ni kama nataka
Nilikuwa
nasaka, na ni kama nishapata
Ata
ukinilenga, baby bado nakuhata
Usinivunje
moyo, mapenzi sio kashata
Chorus
Cheza
chakacha (haya) basi cheza chakacha
Cheza
chakacha (haya) basi cheza chakacha
Cheza
chakacha (haya) basi cheza chakacha
Cheza
chakacha, achakacha
Hook
Tuko
true, na bado hatujakata tamaa (hope);
Maneno
yamekwama, unavyoshika tamaa (chin)
Hivo
tuu, (hivo tuu)
Uko
juu, na baby uko juu
Verse 1
Mrembo,
I’m sorry the other time I almost fell for a chiq with specs
Little
did I know she’s so (saw) much into looks?
But
sai, ningependa kuspend most of my time kuhold kiuno chako
At least
that time well wasted (waisted)
Body
yako iko so tempting such that,
Ata
waongo wakikuona umelala, pia wao wanajisikia wa-lie
Beauty
yako ndio itafanya soul ya the late Baraka mushai ipate life
Na
irewrite history kwa mara ya pili
Ata
tukipiena half of our hearts, hiyo ni one love
Bado roho
zetu zitakuwa kamili
Napenda
vile sii huhold mikono pamoja as a symbol of togetherness
Ndio hata
saa zijue that this is our hand
Tangu tumeet
hadi sai,
Nimekuwa
na almost a million dreams kukuhusu
One yenye
ilicapture my attention ni ile yenye
Ulikuwa
unaplead to the constellation with the one of their stars kuhusu
Hoping
na kuweka my fingers crossed bado tutakuwa pamoja
Coz ukiniacha,
si mimi pekee
Mpaka ile
republic iko southern Europe, Ita-lia
Babe I’m
here to stay,
Kama
ile garment iko attached at the arm-hold, si-leave (sleave)
Hook
Tuko
true, na bado hatujakata tamaa;
Maneno
yamekwama, unavyoshika tamaa (chin)
Hivo
tuu, (hivo tuu)
Uko
juu, na baby uko juu
Verse 2
Najua
hupendi vibe za magari but where are you parking?
Ile number
ulinipea juzi ni kama iko on holiday, trust me, it’s not working
Na vile
unaqueen on your own world can I be your king?
Wachana
na wengine apart from kupika cooking tu wanajua ni stalking
So baby,
can I have your number? (Have you lost
yours?)
Kila kitu
ninacho na wish na yenye sina, it’s all yours
When I grow
up, all I wanna be is all yours niki-kuwa
Its
high time uanze kuaccept flowers vile unani-ua
Apart from
kuku-trust, nitakupa mapenzi ya ki-sure
Don’t
worry I’ll do my own laundry, hii si mapenzi ya ki-fua
Heart yangu
imetoka from a cold weather now that nimeku-jua
Kaa uko
na boyfriend me hapan tambua
Ukibak bandika,
me nabak bandua
Nataka nikushow
kitu sii wote tunajua,
Love yetu
imeandikwa kwa indominable ink don’t weno (we
know)
Crazy is
our destination, so baby let’s go
Hook
Tuko
true, na bado hatujakata tamaa (hope);
Maneno
yamekwama, unavyoshika tamaa (chin)
Hivo
tuu, (hivo tuu) hivo tuu (hivo tuu)
Uko
juu, na baby uko juu
Chorus
Cheza
chakacha (haya) basi cheza chakacha (cheza mama)
Cheza
chakacha (haya) basi cheza chakacha (oh cheza mama)
Cheza
chakacha (haya) basi cheza chakacha
(Yeah cheza mama, cheza mama, cheza ma,
cheza ma, cheza mama)
Cheza
chakacha, achakacha
Disclaimer:
All lyrics are owned by respective artists