Thursday, 18 July 2019

KAA NA MAMA YAKO LYRICS BY OCHUNGULO FAMILY

Ochungulo Family Kaa na mama yako


Intro
Man a badmanting…
Umm…
Look baby, aah
Maybe I’ll post your dad

Shika toto, wolan
Kemba toto, wolan
Shika toto, wolan
Kemba toto, wolan

Chorus
Kama hakuna, kaa na mama yako!  (aaah)
Usikuje hapa, kaa na mama!
Kama hakuna, kaa na mama yako! (aaah)
Usikuje hapa, kaa na mama yako!
Kama hakuna, kaa na mama yako!  (aaah)
Usikuje hapa, kaa na mama!
Kama hakuna, kaa na mama yako!  (aaah)
Usikuje hapa, kaa na mama yako!

Verse 1: Benzema
Wacha ni finness,
Wacha nikutest
Nione girl ka leo uta undress
Nipunguzie stress, mjulubeng
Bend bend nikubang bang
Alenjadro chief inspekta
Nipple zako nazinyonya kama nectar
Kitu mi hufuata solo ni ma-chedar
Sio bomb inalipuka ni mavela
Tunaipuliza leo kivuvuzela
Zimetushika zimetufunga kijela
Rieng ni kukamatia na kukemba
Na mawezere uzi za ya ayela

Chorus
Kama hakuna, kaa na mama yako!  (aaah)
Usikuje hapa, kaa na mama!
Kama hakuna, kaa na mama yako!  (aaah)
Usikuje hapa, kaa na mama!
Kama hakuna, kaa na mama yako!  (aaah)
Usikuje hapa, kaa na mama!
Kama hakuna, kaa na mama yako!  (aaah)
Usikuje hapa, kaa na mama!

Verse 2: D-more
Kanipiga mate,
Kanikwata waya
Kako njaa nakapea miti
Kuna nduru giza ni tititi
Bobo shanta yaya-yaya
Dush kawika oh mama mama ma
Sato sato ka-ka-ka-ka
Nyundo msumeno tunapaka na-na
Ssshh...
Nyonga nduru nduru
Cheza chini ka Waiguru guru
We mtamu ka sukari nguru nguru
Kabakora kako ndani si ni turu-turu

Chorus
Kama hakuna, kaa na mama yako!  (aaah)
Usikuje hapa, kaa na mama!
Kama hakuna, kaa na mama yako!  (aaah)
Usikuje hapa, kaa na mama!
Kama hakuna, kaa na mama yako!  (aaah)
Usikuje hapa, kaa na mama!
Kama hakuna, kaa na mama yako!  (aaah)
Usikuje hapa, kaa na mama!

Verse 3: Nellythegoon
Wolan, (aaauuuiii...Serikali saidia)
Wolan, (mwanamke asipotoka kwa nyumba ataolewa na jirani)
Wolan, Wolan (wakisha nyongi, wakisha nyongi)
Chapa ilale,
Chapa igande,
Leta kiherehere nitachapa inyambe
Kisha inipe kichwa nikiwasha hii ngale
Ju tuko maji si basi si uwache izame (aaauuu)
Ngedem ngedem mi ndio baze-bazeng
Mtoto akililia basi ngedem ngedem
Nakusoma macho uki pretend pretend
Mi hukata maji tu ma weekend weekend
Ka ni date, kati ya wiki inadepend depend
We ni shallow end ama deep-end deep-end??
Unataka lion ama kitten kitten??
Sura nakupea ka five, haga ki-Ten ki-Ten

Chorus
Kama hakuna, kaa na mama yako!  (aaah)
Usikuje hapa, kaa na mama!
Kama hakuna, kaa na mama yako!  (aaah)
Usikuje hapa, kaa na mama!
Kama hakuna, kaa na mama yako!  (aaah)
Usikuje hapa, kaa na mama!
Kama hakuna, kaa na mama yako!  (aaah)
Usikuje hapa, kaa na mama!


Outro
Ochungulo family
What a Gwan, What a Gwan
Ingine tena…




Disclaimer: All lyrics are owned by respective artists




Monday, 15 July 2019

DALA DALA- OTILE BROWN FT ETHIC SONG REVIEW

Dala dala by Otile Brown ft Ethic song review



But why isn’t Reckless’ voice in this song Dala Dala?

I had so much anticipation when I clicked on this song to watch it on Youtube. However, I had a major disappointment; Reckless didn’t bring his chorus game in this song. Where was he?

Don’t get me wrong, I do like Otile Brown and yes he’s got an awesome voice. Can we also agree that Reckless makes the chorus’ worth jamming to?

Anyway, that aside, Ethic is honestly polishing up and they do look good in the music video. We will have to thank the amazing support of Kamene and now Otile for helping our young Reggea tone artists make it in this industry.

Can I mention that this jam accumulated 39 thousand views in just 2 hours? Well, the fans are in this supporting game massively. So, Dala Dala is a Swahili slang to mean minibuses. I guess it makes sense when Otile sings, Mapenzi  ni safari and at the back we have the Dala dala word tuned in with the music.

Now listen to the song and enjoy as we wait for the weekend. Oh, and don’t forget to check out the Dala Dala lyrics right here.

DALA DALA LYRICS- OTILE BROWN FT ETHIC

Otile Brown ft Ethic Dala dala


Intro
Magix Enga on the Beat

Verse 1
Kwa mapenzi kipofu macho hayana tongo
Hayana mwenyewe ya maridhiano
Pretty anakata mamodo na ana chongo
Tell me who do you love?
Upendo wa kwa yai huwezi fosi moyo
Asokupenda mupe kisogo
Tusipotezeane time usilete nyodo
Tell me who do you love?

Hook
I need some love now
Some real love now whoa whoa
Yalonikuta sitamani
Nipe pombe nimwage radhi
I need some love now
Some real love whoa whoa
Yalonikuta sitamani
Nipe pombe nimwage radhi

Chorus
Dala dala,
Oooh mapenzi safari, ukiridhia ndo hundondoki (dala dala)
Ila yanaweza kukosti , yanaweza kukosti (dala dala)
Oooh mapenzi safari ukiridhia ndo hundondoki (dala dala)
Ila yanaweza kukosti , yanaweza kukosti (dala dala)

Ooh waiter njoo
Ooh waiter njoo, (waiter)
Ooh waiter njoo, (hmm)
Ooh waiter njoo
Leta pombe, leta pombe

Verse 2
Yow,
Umeivisha, umewezesha
Na kuna venye mafisi unawatesa
Jo ulifanya niwachane na Melisa, Patricia, Vanessa ata na Teresa
Mama niko solo sina keja ni lojo
Gizani utalamba ukidai kukiona
Akifika area nda msokonya
Wabebe na kiondo ukiguza kanyondo
Fika ka ni toto chini ya waba uwache ukoko

Verse 3
Nikikupa silver, Goro nitapea Kamene
Ju me ni girimba kuwa share kaa ma me-me
Ku-cuff na u-lawyers zote niliachanga tene
Juu sai nina roho ya fisi ukitaka ikembe
Chuna kindovu baadae ukaikate pembe
Kiuno nyongoa ukaikate ka ka-dere
Napenda kwa ndolo ukinivishanga pete
Ju sura si mbovu, kumbao si lazma tembe

Hook
I need some love now
Some real love now whoa, whoa
Yalonikuta sitamani
Nipe pombe nimwage radhi
I need some love now
Some real love now whoa, whoa
Yalonikuta sitamani
Nipe pombe nimwage radhi

Chorus
Dala dala,
Oooh mapenzi safari, ukiridhia ndo hundondoki (dala dala)
Ila yanaweza kukosti, yanaweza kukosti (dala dala)
Oooh mapenzi safari, ukiridhia ndo hundondoki (dala dala)
Ila yanaweza kukosti, yanaweza kukosti (dala dala)

Ooh waiter njoo
Ooh waiter njoo (waiter)
Ooh waiter njoo (hmm)
Ooh waiter njoo
Leta pombe, leta pombe

Bridge
Ngori ooh ngori (upweke)
Yameshika ni ngori (upweke)
Nimelewa sina worry (upweke)
Basi nibebwe kwa tiroli (upweke)
Ngori ooh ngori (upweke)
Yameshika ni ngori (upweke)
Nimelewa sina worry (upweke)
Basi nibebwe kwa tiroli




Disclaimer: All lyrics are owned by respective artists




VERA SIDIKA- MIMI SONG REVIEW

Vera Sidika Song Review



Wow, just wow.

Kuishi kwingi, kuona mengi. For those who don’t understand, this is a Swahili saying to mean the longer you live, the more you see.

Vera, Vera, Vera. I’m sure most of us didn’t think that we would see you in black again. Just a quick question, did Bendi Huru inspire you with their song, Black Without Apology?

It’s interesting how this voluptuous woman, lady makes us buzz about her and what’s more interesting is the confidence she has in passing a message through songs. Let’s call it, a new found hobby maybe.

Can she sing?

Definitely not like Rihanna or Beyoncé but an improvement from her first song Nalia which received a huge viewership at the time.

Mimi, as Vera Sidika puts it, is a message to people telling them that it doesn’t matter whether she is black or white. What matters is that she is the same person inwardly. Hmm…

Well, Vera, we’d really like to know the reason for your transformation. However, we do hope that you enjoy what you do. Be yourself and we will respect you for that

VERA SIDIKA- MIMI LYRICS

Vera Sidika Mimi





Mmhhm,
Ilhaji made it…
Verse 1
My skin don't tell me who I am
My colour don't tell me where am from
Money don't care, black or white bado utahustle
Changamoto kibao, haters ndo hao, call it a struggle

Hook
Maneno, maneno, kila kukicha maneno
I wish you’d understand ‘Sote kwa mwenyezi tuko sawa’
Cheupe cheusi (Ni kwa kupenda)
Kubadili madili (Ni kwa kupenda)
Kutenda mema (Ni kwa kupenda) ooh,
[Interviewer: When did you go back to being black?
Vera: Well, feels good to be back, good to be back]

Chorus
Ningali mimi (Mi ni yule yule)
Ubaguzi wa nini?
Ningali mimi (Mi ni yule yule) eey
Ningali mimi (Mi ni yule yule)
Fitina ya nini? Ningali mimi(Mi ni yule yule) Heey

Taritata, yatata
Oooh... huh

Verse 2
Boss lady, me nishapanda bei, Mtajuaje?
Nichimbie kisima muingie wenyewe, hey
Wenye wivu mjue
Mola mpaji kwa wote
Tena chuki bure,
Haina maana yoyote

Hook
Maneno, maneno, kila kukicha maneno
I wish you’d understand ‘Sote kwa mwenyezi tuko sawa’
Cheupe cheusi (Ni kwa kupenda)
Kubadili madili (Ni kwa kupenda)
Kutenda mema (Ni kwa kupenda)

Chorus
Ningali mimi (Mi ni yule yule)
Ubaguzi wa nini? Ningali mimi (Mi ni yule yule eey)
Ningali mimi (Mi ni yule yule)
Fitina ya nini? Ningali mimi (Mi ni yule yule hey)

Mi ni yule yule, hey(Mi mi mi mi mi)
Mi ni yule yule, hey (Mi mi mi mi mi) ooh
Mi ni yule yule hey (Mi mi mi mi mi)
Mi ni yule yule hey (Mi mi mi mi mi)

Chorus
Ningali mimi (Mi ni yule yule)
Ubaguzi wa nini? Ningali mimi (Mi ni yule yule, heeey)
Ningali mimi (Mi ni yule yule)
Fitina ya nini? Ningali mimi (Mi ni yule yule hey)
Ningali mimi (Mi ni yule yule)
Ubaguzi wa nini? Ningali mimi (Mi ni yule yule heey)
Ningali mimi (Mi ni yule yule)
Fitina ya nini? Ningali mimi (Mi ni yule yule hey)




Disclaimer: All lyrics are owned by respective artists




Saturday, 13 July 2019

BENDI HURU SONG REVIEW 'BLACK WITHOUT APOLOGY'




Bendi Huru song review

This is not your everyday kinda band. I must say they found a way to be authentic with the music they produce from Afrodizia to Mr. Politician and now Black Without Apology. Are you getting their vibe? Liberation, freedom, for Africa by Africans…


Should I stop? Do you get it?

So, Black without apology.

This song begins with a powerful spoken poetry that goes deep. I mean, maybe this is the song that made Vera Sidika tune back to black. Haha!!

When I first listened to this song, I was in love with the style, the editing and the instruments. I felt the entire song start with a punch which was unique and I wanted to hear and see the song to the end.

Like I said in the HeadWraped album Launch review, Bendi Huru are not just musicians, they are artists and they can perform.

Please Bendi Huru have an event soon and make sure to invite The Song Magazine because, we are a in love with your music and crazy about your performances.